Ni Neno Toka Kwa Bwana
Wedding,Ordinary Time,Ordinary TimeBible Procession
Verse 1
{ Ni neno toka kwa Bwana linakuja,
Ni neno toka kwa Bwana linakuja } *2
Chorus
Lisikie neno, neno lake Bwana
Ni neno toka kwa Bwana linakuja
Verse 3
Injili toka kwa Bwana inakuja . . .
Verse 4
Ushindi toka Bwana unakuja . . .
Verse 5
Baraka toka kwa Bwana zinakuja . . .
Verse 6
Hekima toka kwa Bwana inakuja . . .