Ni Neno Toka Kwa Bwana Linakuja
Ordinary Time,MarianBible Procession
Verse 1
Ni neno toka kwa Bwana linakuja -
Ni neno toka kwa Bwana linakuja
Chorus
Tusikie Neno, neno lake Bwana
Ni Neno toka kwa Bwana linakuja
Verse 3
• Injili toka kwa Bwana Inakuja -n• Ushindi toka Bwana unakuja -n• Baraka toka kwa Bwana zinakuja -n• Hekima toka kwa Bwana inakuja -n