SectionsThanksgivingNi Nani Kama Mungu

Ni Nani Kama Mungu

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Resurrection,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

Ni nani awezaye kufananishwa na Mungu

Ni kitu gani kiwezacho kufananishwa na Muumba*2

Wiki nzima amenipa nguvu amenipa na uhai

Nimefanya kazi zangu zote kwa ratiba zangu zote

Na sasa niko hapa mbele kuutangaza wema wake

Waumini simameni-pigeni vigelegele

Na tuimbe pamoja tutangaze wema wake

Verse 2

Hebu fikiria ndugu ilivyo maajabu wewe

Umempa nini Bwana wetu muumba

Ni wengi waliopenda kuiona siku hii

Kwa mapenzi yake yeye wote wote hawakuiona

Verse 3

Hebu fikiria pia ilivyo maajabu wewe

Una maisha bora pia ya kupendeza

Ni wengi hawana nyumba hawana na makazi

Viungo vya mwili mikono na hata miguu