SectionsEucharistNi Nani Kama Bwana Yesu

Ni Nani Kama Bwana Yesu

Ordinary TimeEucharist
Chorus

Ni nani kama Bwana Yesu,

Mfalme wa mbingu na nchi,nanayetualika sote,nkwenye karamu aliyoiandaa,nbali tuwe na moyo saf. x2

Verse 2

Ni nani kati ya watawala wote

Wafalme wa dunia hii,

Aliyewahi kuandaa karamu

Akaalika watu wote.

Verse 3

Sote tunaalikwa kushiriki kwenye

Meza yake Bwana,

Tukiwa tajiri au umaskini bali tuwe

Na moyo saf.

Verse 4

Ishara ya mapendo makubwa

Kwetu kutoka kwake Bwana Yesu,

Kutoa mwili kutoa damu yake

Kuziridhisha roho zetu.

Verse 5

Enyi wafalme watawala wote

Mliojaliwa kwa mali,

Toeni sehemu ya hazina yenu

Saidieni maskini.