SectionsEntranceNi Nani Huyu

Ni Nani Huyu

WeddingEntrance
Verse 1

Ni nani huyu anayekuja akiruka ruka, mpendwa wangu

Chorus

Sikiliza mpendwa wangu, tazameni anavyokujan(Akirukaruka-mpendwa wangu)

Verse 3

Simameni watu wote mkamtazame- mpendwa wangu.

Verse 4

Mpendwa wangu yeye ni wangu na mimi ni wake-nampenda

Verse 5

Mpendwa wangu alinena akaniambia njoo kwangu, njoo kwangu

Verse 6

Mpendwa wangu nigeukie niutazame uso wako- uso wako