Verse 1
Ni nani amezaliwa, ni Yesu amezaliwa
Mwokozi amezaliwa, Siku ya leo Krismasi
Chorus
Tushangilie, amezaliwa siku ya leo Krismasi
Tushangilie, amezaliwa siku ya leo Krismasi
Verse 3
Na nyota nzuri ikaonekana, kule Mbinguni kwa Mungu baba
Tumshangilie ee Mwokozi Yesu amezaliwa
Verse 4
Bethlehem tushangilie, Mwokozi Yesu amezaliwa
Amezaliwa aa Bethlehem siku ya leo Krismasi
Verse 5
Tushangilie Mwokozi Yesu, amezaliwa Krismasi
Tushangilie, siku ya leo tupige ngoma
Verse 6
Mama Maria asante sana, kwa kumzaa Mwokozi Yesu
Tushangilie ee Mwokozi Yesu amezaliwa