Ni Mungu Mkuu

Christmas,Christmas,Ordinary TimeThanksgiving
Verse 1

Ni Mungu mkuu *3 ni Mungu wa ushindi

Ni Mungu mkuu *3 ni Mungu wa uweza

Ni Mungu mkuu *3 ni Mungu wa ushindi

Ni Mungu mkuu uuu mkuu

Ni Mungu mkuu ni Mungu wa ushindi

Ni Mungu wa uweza

Verse 2

Ameumba jua na mwezi,nvinavyong'ara vyote kaumba

Ameumba radi inayonguruma,nyenye kutisha yenye kuogofya

Verse 3

Ameumba giza na kimyanakaviumba vilivyo tuli

Ameumba maji yanayofariji,nyenye kupoza na kuburudisha

Verse 4

Astahili sifa na utukufu,

Astahili enzi na utawala

Astahili kusifiwa na kutukuzwa,

Astahili kusifiwa milele milele

Verse 5

Astahili sifa, astahili enzi *2

Astahili sifa, Astahili sifa na heshima

Astahili sifa *2 sifa astahilina heshima

Verse 6

Kaweka mamlaka zake mikononi mwa watu

Ni watu wadogo mno kwenye koo duni tu

Kawapa fimbo yake kuu wamchungie kondoo

Wakaifanye kazi kwenye shamba lake kuu

Verse 7

Ndiye Mungu wa babu abrahamu na wa Isakan(Na yeye) Ndiye Mungu wa Yakobo na daudi

Ni Mungu wa milele

Verse 8

Ni Mungu mkuu * 2 ni Mungu wa ushindi

Ni Mungu mkuu *2 ni Mungu wa uweza

Verse 9

{Astahili kusifiwa kutukuzwa milele *2

Ni Mungu mkuu wa ushindi,

Ni Mungu mkuu wa uweza

Ni Mungu Mungu hutenda makuu } * 2

Verse 10

Ni Mungu mkuu *3 ni Mungu wa ushindi

Ni Mungu mkuu *3 ni Bwana wa mabwana