SectionsExitNi Mpango Wa Mungu

Ni Mpango Wa Mungu

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Resurrection,Ordinary Time,Ordinary TimeExit
Chorus

{Ni mpango wa Mungu Baba, kuniumba hivi nilivyo

Na jinsi alivyoniumba, ili yeye atukuzwe } * 2

Verse 2

Tazama mimi ni kipofu, nawe mwenzangu unaona

Ni mpango wa Mungu Baba ili kwa hilo atukuzwe

Verse 3

Tazama mimi ni kiwete, nawe mwenzangu watembea

Ni mpango wa Mungu Baba ili kwa hilo atukuzwe

Verse 4

Tazama mimi ni mweusi, nawe mwenzangu ni mweupe -

Tazama mimi ni mfupi, nawe mwenzangu ni mrefu -

Verse 5

Tazama mimi maskini, nawe mwenzangu ni tajiri -

Tazama unao watoto, bali mimi nawatafuta -