SectionsBible ProcessionNi Injili Yake Mungu

Ni Injili Yake Mungu

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Resurrection,Ordinary TimeBible Procession
Chorus

Ni Injili yake Mungu inaingia

Ni Injili yake Mungu inaingia *2n

Ni Injili yake Mungu tunaileta

Ni Injili yake Mungu tunaileta *2n

Natamani kulisoma neno hilo

Neno lake Mungu Neno la uzima *2

Verse 2

Tutangaze neno lake Mungu njema

Katikati yetu na waumini wote *2

Verse 3

Nipeleke ujumbe wake Mungu wetu

Kwa kabila zote na waumini wote *2

Verse 4

Nieleze Injili yake Mungu Babankwa hekalu lake na wapendwa wote *2

Verse 5

Nitangaze Injili yake Mungu Baba

Kwa taifa lote na wafuasi wote