Chorus
Ni heri zaidi, ni heri zaidi kutoa kuliko kupokea ni heri zaidi kutoa kuliko kupokea
Ni heri ni heri zaidi kutoa*4
Verse 2
Tunapaswa wote kuwasaidia walio dhaifu,
Tukikumbuka maneno ya bwana yesu mwenyewe
Heri zaidi kutoa kuliko kupokean
Vitu vyote kweli tumepewa bure, tuvitoe bure
Hatuna budi kuvirudisha vitu vyote kwake
Heri zaidi kutoa kuliko kupokean
Hata kama Ndugu unacho kidogo usisite nenda
Vitu vyote ulivyo navyo mungu ndiye kakupa
Heri zaidi kutoa kuliko kupokea