Chorus
Ni furaha tushangilieni, kazaliwa
Mwokozi Yesu ni furaha tele Bethlehem
Ule utabiri uliosemwa na Isaiah umetimia
Verse 2
Yesu Kristu mwana wa Mungu kazaliwa huko
Bethlehem, Twende tukamwabudu, twende
Verse 3
Kuzaliwa kwake Immanueli Bwana Kristu
Ni kuonyesha Mungu ni mkarimu, kweli
Verse 4
Twende tumwone mashariki na malaika
Alionyesha mwokozi kazaliwa, wote
Verse 5
Waumini tumwimbieni kwa furaha
Tumshangilieni mfalme mwenye nguvu,, kweli
Verse 6
Nyumbani mwa daudi katoka mwana mwenyenuwezo, wa kifalme tushangilieni, wote