SectionsEntranceNi Furaha Duniani

Ni Furaha Duniani

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,ResurrectionEntrance
Verse 1

Ni furaha duniani, Mwokozi kafufuka aee kafufuka

Ni furaha duniani, Mwokozi kafufuka aee kafufuka

Chorus

Asubuhi na mapema (kafufuka)

Siku ya mwanzo ya juma (kafufuka)

Ameyashinda mauti (kafufuka)

Verse 3

Njooni tumshangilie Bwana amefufuka aee kafufuka

Nyimbo nzuri tumwimbie Bwana amefufuka aee kafufuka

Verse 4

Maria Magdalena kaenda kaburini aee kaburini

Marashi na manemane kaleta kaburini aee kaburini

Verse 5

Malaika kawambia hayuko kafufuka aee kafufuka

Kawambia wanafunzi hayuko kafufuka aee kafufuka