Chorus
[s:] Ngong ngong ninagonga ee Bwana nisikien[w:] Nimo malangoni ninakuitan[s:] Ngong ngong ninagonga mlango wako Bwanan[w:] Bwana nipokee nikaribishen[s:] Nasikia kwa Bwana kuna chakulan[w:] Nimekuja Bwana unishibishen[s:] Nasikia ya kwamba kuna kinywajin[w:] Nimekuja leo niburudiken[s:] Bwana unipokee nisikilizen[w:] Unipe neema unibariki
Verse 2
Nyumba yake Bwana ni nyumba ya sala, endeninkwa heshima, tukaijongee meza ya mapendo, kwa furaha
Verse 3
Nyumbani mwa Bwana mna neema nyingi nendeninmkapewe, tuugonge mlango wake pamoja, tuingie
Verse 4
Bwana nimekuja leo na mapema, Mbele ya nyumbanyako, unikaribishe hekaluni mwako, nakuomba
Verse 5
Sala zangu na dua zangu natoa Bwana zikufikilie
Unifungulie masikio yako siku zoten