SectionsEntranceNeno Moja Nimelitaka

Neno Moja Nimelitaka

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeEntrance
Chorus

{Neno moja nimelitaka nimelitaka kwa Bwana

Ndilo - Nalo ndilo nitakalolitafuta litafuta }*2n{Nikae nyumbani mwako (Bwana)nsiku zote za maisha yangu,

Niutazame uzuri, uzuri, uzuri wako Bwana } *2

Verse 2

Nikae nyumbani mwako siku za maisha yangu,

Nikusifu wewe Bwana daima milele

Verse 3

Siku zangu zote Bwana, nikuabudu wewe,

Na uwe sitara yangu, unifadhili Bwana