Neno La Bwana Ni Chakula
Ordinary Time,Ordinary TimeBible Procession
Chorus
Neno la Bwana ni chakula
Neno la Bwana ni kinywaji
Verse 2
Hicho kisomo chako kitaiisha
Bali neno lake litasimama
Verse 3
Yote ya ulimwengu yatapita
Bali Neno lake litasimama
Verse 4
Usidanganyike na ya ulimwengu
Simama imara simamia Yesu