Neno Hili

Ordinary TimeBible Procession
Verse 1

[b] Neno hili ni neno la kweli -n[w] (Tena jema tena jema) tena jema *2

Chorus

[t] Neno -n[w] Neno hili ndugu lakuita wewe (wewe)

Neno la uzima (Tena) tena jema

Verse 3

[b] Bwana Yesu sasa yuko mlangoni -n[w] Anabisha anabisha, anabisha *2