Chorus
{ Nendeni na amani, nendeni na amani
Nendeni na amani, nendeni na amani } *2
Mkayatangaze mliyosikia katika masomo na Injili *2
Verse 2
Tumsifu Bwana Mungu, kwani yeye ni mwema
Tumwombe siku zote
Verse 3
Mwimbieni kwa shangwe, mwimbieni zaburi
Kwa ngoma na vinanda
Verse 4
Tagaza sifa zake, tangaza nguvu zake
Tangazeni amani
Verse 5
Tangazeni ukuu wa jina lake Bwana
Msifuni milele