Nendeni Duniani Kote
Ordinary Time,Ordinary Time,Pentecostal,Ordinary TimeBible Procession
Chorus
{ Nendeni duniani kote, kawafanye mataifa yote
Kuwa ni wanafunzi wangu } *2
Verse 2
Nendeni duniani kote, awafanye makabila yote
Kuwa ni wafuasi wangu
Verse 3
Nendeni duniani kote, hubirini kwao watu wote
Wajue hili Neno langu
Verse 4
Pelekeni kwa watu wote, habari njema ya wokovu
Wapate kuwa kundi langu