Chorus
Nenda katoe wenkatoe shukrani (wewe) kwa mema yote, alokujalia Bwana mungu wako)*2
Verse 2
Amekujalia (wewe) wiki nzima, kwanini na wewe usimshukuru,
Amekuepusha (wewe) hatari na kifo,nkwani ni na wewe usimshukurun
Amekujalia (wewe) wazazi wema,nkwanini wewe usimshukuru
Amekujalia (wewe) uzima mali,nkwanini wewe usimshukurun
Hebu fikiria (wewe) umpe nini, muumba wako kwa mema yote
Hata ni kidogo (wewe) nenda katoe,nkama shukrani ubarikiwan