Neenaa Ee Bwana

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Ordinary TimeBible Procession
Chorus

Nena ee Bwana - Nena Bwana *2

Neno - Neno lako Bwana linatufariji

Nalo ni uzima Nena Bwana

Verse 2

Neno lako ni Neno la kweli - Nena Bwana

Verse 3

Neno lako ni mwanga gizani -

Verse 4

Neno lako ni raha shidani -