Neema Ya Ndoa

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,WeddingThanksgiving
Chorus

Neema ya ndoa iwape shime *2

Neema ya ndoa iwape shime,

Katika kmashaka yote, mashaka yote *2

Verse 2

Hivi ndivyo mtu mwenye

Kumcha Bwana atakavyobarikiwa naye.

Verse 3

Upate kuwaona watoto wako.

Amani kwa Israeli.