Verse 1
Aliwaumba Mungu akawapa neema
Iwasaidie mnazichezea mtazikumbuka ninyi ao wanadamu
Chorus
Acha kuyaharibu mazingira
Chanzo cha mito kuganda uoto
Ni zawadi tumejaliwa na Mungu
Nasi tuitunze ilivyo neema ya kijani
Verse 3
Kukata miti ovyo ni kuharibu kazi ya uumbaji wa Mungu
Verse 4
Kuunguza misitu bila sababu kunapunguza neema ya kijani
Verse 5
Kutupa taka bila utaratibu, kunaushusha thamani utu wetu
Verse 6
Kulima shamba kwenye vyanzo vya maji ni kuharibu urithi wa watoto