SectionsSign of PeaceNeema Na Huruma

Neema Na Huruma

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeSign of Peace
Verse 1

Neema na rehema zina wateule wa Mungu *2n

Chorus

Wenye kumtumaini Mungu

Watang`aa kama dhahabu (kama dhahabu)

Wenye kumtumaini Mungu

Watapata neema zake (neema zake)

Watametameta kama nyota

Watarukaruka mbele zake Mungu

Verse 3

Furaha na amani ina wateule wa Mungun

Verse 4

Upendo na umoja una wateule wa Mungu

Verse 5

Uzima wa milele una wateule wa Mungu