SectionsEucharistNeema Mliyoipata

Neema Mliyoipata

Ordinary TimeEucharist
Chorus

Neema mliyoipata muitunze, neema hiyo ya karamu yake Bwana

Neema ya upendo neema ya amani,nneema ya furaha neema ya faraja, Neema muitunze,nneema na baraka zake Bwana Yesu Kristu

Verse 2

Neema mliyoipata ni neema yake Mungu,

Amewalisha chakula kutoka Mbinguni

Verse 3

Neema mliyoipata ni neema yake Mungu,

Amewanyesha kinywaji kutoka Mbinguni

Verse 4

Neema mliyoipata ni neema yake Mungu,

Amewashibisha kwa mwili na damu yake