Chorus
Ndugu yangu kaza mwendo Safari bado ni ndefun{Ina mabonde mengi pia na milima (mingi)
Ina wanyama wengi tena wa kutisha (sana)
Usilege'legee kaza mwendo tutafika.}*2
Verse 2
Usali na kuomba ufike salama
Kwa maana safari yetu ina vikwazo vingi
Kuna mbwa mwitu wanaonyemelea roho za watu *2
Verse 3
Tunza imani yako usiyumbeyumbe
Tena usikate tamaa kumuabudu Muumba wako
Parapanda itakapolia ikukute u tayari *2
Verse 4
Ole wanafiki na wagombanishi
Kwa sababu hukumu yaja kwa wasiopenda amani
Watakuja lia na kusaka meno siku ya hukumu *2