Ndiwe Kuhani
Ordinary Time,MarianBible Procession
Chorus
Ndiwe kuhani hata milele,nkwa mfano wa Melkizedeki x2
Verse 2
Neno la Bwana kwa bwana wangu
Kuketi mkono wake wa kuume
Hata ni wafanye adui zangu
Kuwa chini ya miguu, miguu yangu.
Verse 3
Bwana atanyoosha toka Sayuni,
Ile fmbo kuu ya nguvu zake,
Uwe na enzi juu ya adui, na waje,
Mbele yako wakitete-meka.
Verse 4
Kwa uzuri wa utakatifu,
Tokea tumbo la asubuhi,
Ukaoo umande wa ujana,
Ndiwe kuhani, kuhani hata milele.