Chorus
Ndipo nilipo sema, tazama nimekuja
Bwana nimekuja, tazama nimekuja
Kuyafanya mapenzi yako x2
Verse 2
Nalimngoja Bwana kwa zaburinakaniinamia akakisikia kilio changunakatia wimbo mpya kinywani mwangunndiyo sifa zake Mungu wetu.
Verse 3
Dhabibu na matoleo hupendezwa navyo,nmasikio yangu umeyazibua, kafara nansadaka za dhambi huzitaka ndipo nilipontazama nimekuja.
Verse 4
Katika gombo la chuo nimeandikiwa,nkuyafanya mapenzi yako mapenzi yako,nee Mungu wangu ndiyo furaha, furahanyangu, naam sheria yako imo moyoninmwangu.