Chorus
Ndimi mtumishi wako, nitafuraha kwako
Bwana (mimi)
Ndimi mtumishi wako, nitafuraha kwako
Bwana (ndimi)
Verse 2
Nitajonjegea altare ya Mungu.
Mungu wa raha ya roho yangun
Machoni pangu meza imepambwa,
Bwana tazama adui zangun
Malishoni mwa majani mabichi,
Ananitunza nikiwa nayen
Sifa ziende kwa Baba na Mwana,nna kwake Roho milele yote