Chorus
Yuda akarudi, chukua fedha zenu huyu ni mwema,
Pilato akakiri hana kosa lakini kamuueni,
Kainuliwa mtupu na kajeruhiwa sana,
Amekata roho, nchi inazizima kwa huzuni kuu.
Verse 2
Ona damu, mwili umelowanan
Ona nyama, madonda mwili mziman
Moyo wake, nao umetoboka.n
Mate yao, yamemfunika uso.
Verse 3
Meno yake, kang'ata kwa uchungu.n
Nafsi yangu, imemjeruhi Yesun
Dhambi zangu, zikamchomoa rohon
Mungu wangu, nionjeshe uchungu
Verse 4
Ili nife, pamoja naye Kristun
Mwisho nije, nikafufuke naye