SectionsEntranceNawapa Amri

Nawapa Amri

Wedding,Wedding,Wedding,WeddingEntrance
Chorus

Nawapa amri, amri pendaneni (Asema

Bwana), kama vile mimi nilivyowapendannyinyi, (Nanyi), nanyi, pia pendaneni.

Verse 2

Wapenzi na tupendane;npendo latoka kwa Mungu.

Na pia apendayenamezaliwa na Mungu (Mungu),nnaye anamjua Mungu, mpendanen

Yule asiye na pendonhakumjua Mungu wetu,nkwa maana Mungu ninmwenye upendo kamili (naye),nnaye ametuamuru; tupendanen

Mungu apenda duniankwa mapendo yake kwetu,nakamtuma mwana wake pekee (pekee),nhapa kwetu duniani tupendanen

Kila amukirie Yesunkuwa ni mwana wa Mungu,nndipo Mungu anakaanndani yake mtu Yule (naye),nnaye ndani yake Mungu tupendane