Verse 1
Nasikia Yesu waniita, kwa mlio wa neema yako
N'tawezaje bado kusita, wako kufuata mwaliko
Chorus
Yesu wataka nikupende, nifumbue wako moyo
Kujificha ndanie, niende nionje tamu rahayo
Verse 3
Sheria yako tamu, nzuri, kwa upole wako
Yafaa kushika zako zote amri aweza nani kukataa
Verse 4
Wa roho niwie mwalimu, mwake ujifumbulie.
Kukujua nipe elimu, Yesu mwema nijalie
Verse 5
Wa Mungu moyo udhaifu, kukukasirisha.
Ee moyo safi, mtakatifu, sitakukosa zaidi.
Verse 6
Niwezeshe na malaika kisha acha mwili wangu
Kukusifu Rabi hakika na kuonja heri ya mbingu