Nasikia Sauti Nzuri
Nasikia sauti nzuri kama ya malaika
Ni sauti toka mbinguni, sauti ya Mungu
Aniita mimi niende nikamtumikie
Anitume shambani mwake nikavune yote
Umeniita, nimeitika wito, nakuja kwako leo,nnajongea mbele zako Bwana nipokee mimi,nniko tayari, nimeyaacha yote,nnajikabidhi kwako,nunitume popote nami nitakwenda haraka
Ninaenda mimi naenda, ninaenda mwenyewe,nninaenda mbele za Bwana, sitarudi nyuma,nndugu zangu na marafki, mniache niende,nnikafanye kazi ya Bwana, nitakapotumwan
Nilitazama moyo wako, moyo wako mwanangu,nhata kabla hujazaliwa, nilikutambua,nnilikuteua mapema kati ya ndugu zako,nuwe kuhani wangu mimi, kuhani mkuun
Shamba lake Bwana ni kubwa nanmavuno ni mengi,nwavunaji ndio wachache nitakwenda mimi,nnakuomba sana ee Bwana,nnipeleke shambani,nnikavune mavuno yote yaliyo tayari.n
Uwe nami siku kwa siku, Bwana usiniachenunikinge na majaribu nilinde daimannipeleke habari njema, ulimwenguni mwote,nwatu wote wakutambue, wakugeukie