Nasadiki

Ordinary TimePrayers of the Faithful
Chorus

Nasadiki kwa Mungu mmoja.

Nasadiki kwa Mungu mmoja

Muumba mbingu na dunia na kwa Yesu Kristunmwanaye wa pekee Bwana wetu,

Nasadiki ninasadiki (mimi) kweli ninasadiki,nnasadiki kwa Mungu mmoja.

Verse 2

Alipata mwili kwa tendo lake Roho

Mtakatifu, kazaliwa naye Bikira,nakateswa kwa ponsio pilato.

Akasulibiwa akafa, akazikwa kaburini,nna kuzimu akashukia,nkafufuka siku ya tatu.

Verse 3

Akapaa juu mbinguni, ameketi kuumenkwa Baba, Mungu Baba yetu mwenyezi

Muumba mbingu na dunia.

Verse 4

Ndipo atakapotokea kuhukumu wazimanna wafu, na ufalme wake milele utakuwanbila mwisho.

Nasadiki kanisa ni moja, ni kanisa takatifu,nni kanisa la katoliki ni kanisa la mitume.

Verse 5

Ushirika wa watakatifu, ondoleo landhambi zetu, nasadiki ufufuko wa miili,nna uzima wa milele.