Nani Ni Nani
Thanksgiving
Verse 1
Nani ni nani *2 nani kama Mungu.
Mwenye uweza na mwenye ukuu,nnani ni nani nani kama Mungu.
Verse 2
Ameniumba jinsi nilivyo nipendezavyo -nni nani kama Mungu
Niseme nini niimbe vipi nilie vipi
Verse 3
Tazama jua mwezi na nyota,nmbingu na nchi -
Lo! usiku jua li wapi ni maajabu -
Verse 4
Ananilinda mchana kutwa pia usiku -
Nikitembea nikisimama ananilinda -
Verse 5
Tazama ndege wa msituni wanavyoishi -
Hawana shamba wala virende anawalisha
Verse 6
Na maarifa tuliyonayo yeye katupa -
Njooni pamoja tumwimbie na tumsifu -