SectionsThanksgivingNani Kama Mungu

Nani Kama Mungu

Ordinary Time,Advent,Lent,EasterThanksgiving
Chorus

Ni nani awezae kufananishwa na Mungu

Ni kitu gani kiwezachonkufananishwa na muumba x2

Wiki nzima amenipa nguvu, amenipa nanuhai, nimefanya kazi zangu zote kwanratiba zangu zote na sasa niko hapanmbele kuutangaza wema wake waumininsimameni: Pigeni vigelegele na tuimbe kwanpamoja, tutangaze wema wake

Verse 2

Hebu fikiria ndugu ilivyo maajabu wewenumempa nini Baba yetu Muumba ninwengi waliopenda kuiona siku hii kwanmapenzi yake yeye wote hawakuionan

Hebu fikiria pia ilivyo maajabu wewenuna maisha bora pia ya kupendeza ninwengi hawana nyumba hawana makazinviungo vya miili mikono na hata miguu