SectionsThanksgivingNamtegemea Mungu

Namtegemea Mungu

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Verse 1

{ [ s ] Namtegemea Mungu, (aee Mungu)

Mimi namtegemea Mungu mimi } *2

Mimi namtegemea Mungu mimi

Mimi namtegemea Mungu miminn{ Iyele iyele iyele iyele iyele!

Umeniumba vilivyo mimi leo nakutegemea

Hakika nimesema wewe Mungu nakutemea (aee) } *2n

Katika maisha yangu nakutegemea wewe

Hata familia yangu yakutegemea wewe (ee Mungu)

Hivyo usiniache pekee wewe ni Mungu wangunn{ Hauna ubaguzi, umejaa huruma,

Wanadamu sote watupenda, hakika wewe ni mkuu } *2

Verse 2

[ t ] Awali nikushukuru kwa kuniumba mimi,

Umeniumba tena kwa mfano wako

Niseme nini? niseme nini?

Niseme nini juu ya upendo wako

Ninakusifu, nakutukuza,

Nakuinua mbele ya miungu yoten{ Hakuna kama wewe, hakuna!

Hakuna kama wewe Mungu muumba wetu } *2

Verse 3

[ t/b ] Muoneni baba, muoneni mama,

Muoneni kaka, muoneni dada

Walivyoumbwa na Mungu wetu, wote wapendezan[ s/a ] Shangilia kwa makofi, Shangilia kwa makofi

Shangilia kwa makofi, huo ni utukufu wake

Verse 4

[ s/a ] Maisha yetu tumkabidhi Mungu, ayaongoze kila wakati

Tusijisifu tunapofanikiwa, mafanikio yatoka kwake

Usiisifu akili yako ndugu msifu Mungu wako

Verse 5

[ t/b ] Sitamwacha (haa) Mungu wangu (haa),

Siku zote (haa) anitunza (haa)

Si mwepesi (haa) wa hasira (haa),

Ni mwingi (haa) wa rehema (haa)

Tumwinue Mungu(haa), tumwinue leo(haa),

Tumwinue Mungu(haa), tumwinue leo(haa)

Iyolelelele (haa) iyolelelele (huu),

Tumwinue wapendwa tumwinue Mungu wetu

Hakika sitokuacha milele sitokuacha Mungu