SectionsThanksgivingNalisifu Jina La Baba

Nalisifu Jina La Baba

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Verse 1

Nalisifu jina la Baba wa mbinguni,

Nalisifu jina la Baba

Chorus

Bwana wangu unilinde vyema

Unilaze kifuani mwako

Bwana mwema a Bwana mwema

Verse 3

Maisha yangu natoa kwako Bwana mwema

Maisha yangu natoa kwako

Verse 4

Nashukuru fadhili zako za milele,

Nashukuru fadhili zako