Verse 1
Nalikuwa nimelala moyo wangu umacho
Sikiliza Yesu wangu mpenzi wa moyo wangun
Siku zote nakungoja we mwanangu ujenkwangu, usiogope kunijia nitakupokea tun
Nimemwaga damu yangu roho yako kuokoa,ndamu hiyo ipotee we mwanangu rudi tun
Ni mapendo yangu kwako kuokoa roho yakonwe mwanangu usiogope njoo utubu dhambin
Ni tayari kukupokea mpenzi wangu rudinkwangu furahi pamoja nami milele na milele