Verse 1
Nakukaribisha Yesu wangu ukae moyoni mwangu, (Bwana),
Nakukaribisha Yesu wangu chakula chenye uziman
Chorus
(Nishibishe) unishibishe (kwa chakula) chakula cha uzima
Niyweshe kinywaji safi cha rohon
Verse 3
Mwili wako ni chakula kinacho iburudisha roho yangu
Yesu karibu moyoni mwangu ukae name daiman
Verse 4
Damu yako ni kinywaji kinacho iburudisha roho yangu,
Yesu karibu moyoni mwangu, ukae nami daiman
Verse 5
Kwa Mwili na Damu yako Ee Yesu tunapata uzima tele
Yesu karibu moyoni mwangu, ukae nami daiman