Verse 1
Nakujia mi mwenye dhambi nipokee kwa pendo lako *2n
Chorus
Yesu, nimechoka nazo dhambi
Bwana, Bwana Yesu nipokee
Verse 3
Ulikufa msalabani ukateswa na Wayahudi *2
Verse 4
Damu yako ilimwagika kwa ajili ya dhambi zetu *2
Verse 5
Ulipaa juu mbinguni kutuandalia makao *2