SectionsPresentation of GiftsNakuja Mbele Zako Bwana

Nakuja Mbele Zako Bwana

,Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus

Nakuja mbele zako Bwana,nninakuja na zawadi yangu,ningawa ni kidogo (sana)

Bwana uipokee x2

Verse 2

Nimekaa mimi nimejiuliza moyoni,nnitaenda je mbele za Bwana.

Kwani Bwana amenilinda mimi salamanamezibariki kazi zangu.

Mungu Baba, pokea nilichonachon

Ninatoa kwa moyo mkunjufu pokea,nhiki kidogo nilichonacho.

Haya yote ni kwa ajili yako pokea,nuzidi kunijalia mema.

Ninaleta, mbele ya altare yakon

Mkate na Divai twaleta pokea,nvigeuze mwili pia damu.

Hata fedha zetu za mifukoni twakupa,nzote ni mali yako e Bwana.

Tubariki, tupokee mbele zako.