Verse 1
Nakuabudu Yesu katika Hostya
U Mungu kweli na mwanadamunkatika Sacramenti
Chorus
Nakwabudu nakwabudu
Fudi fudi E Mfalme mtukufu wa milele
Verse 3
Ee Yesu kwa mapendo una kaa kwetu
U mgeni wetu toka mbingunintwakuja kuabudu
Verse 4
Baraka yako Yesu utupatie
Tukinge na maovu ya leontuishi kwa amani
Verse 5
Uwabariki pia wapenzi wetu
Uwajalie neema yakonwatoe shukrani kuu