SectionsOffertoryNaja Mbele Yako

Naja Mbele Yako

Marian,BaptismOffertory
Verse 1

Naja mbele yako ewe Mungu wangu huku nimejawa na dhambi

Bwana usiniache uniwie radhi, mbele yako Bwana natubu

Chorus

Naja kwako nipokee, ingawa mimi nina dhambi *2

Verse 3

Nipe nguvu Bwana nishinde shetani, niishi na wewe daima,

Nikutumikie siku zangu zote, niking`ara kama theluji

Verse 4

Sadaka naleta ingawa sifai, lakini we Bwana pokea

Mkate divai zote nazileta, ewe Bwana wangu pokea