Naja Kwako Nipokee

Ordinary TimePresentation of Gifts
Verse 1

Naja mbele yako ewe Bwana Mungu

Huku nimejawa na dhambi

Bwana siniache uniwie radhi

Mbele yako Bwana natubun

Chorus

Naja kwako nipokee ‘ngawa mimi ninmdhambin

Verse 3

Sadaka naleta ingawa sifai

Lakini ee Bwana pokea

Mkate diavi zote nazileta

Ewe Bwana mwema nipokee

Shetani muovu amenizingira

Pembe zote Bwana nalia

Usiku silali ninahangaika

Ewe Bwana mwema nipokee

Verse 4

Nipe nguvu Bwana nishinde shetani

Niishi na wewe daima

Nikutumikie siku zangu zote

Niking’ara kama theluji