SectionsBible ProcessionNaja Kwako Bwana

Naja Kwako Bwana

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeBible Procession
Chorus

Naja kwako Bwana, unipokee mtumishi wako *2

Kuijongea altare yako, ee Bwana unipokee

Kukutolea sadaka ya misa, ee Bwana unipokee

Kati ya milango yako, Bwana napita.

Niwekee mkono wako, nibariki *2

Verse 2

Ninakuja kwako kukusujudia,

Kukutolea shukrani, sala na maombi yangu *2

Verse 3

Nitakusujudu ee mungu wangu,

Nifanye toba ya kweli, katika hii nyumba takatifu *2

Verse 4

Nitakuimbia kwa nyimbo nzuri

Kwa nyimbo nzuri za shangwe,

Kukuabudu ee Bwana Mungu *2