Chorus
Nafurahi nikikusifu Mungu,
Nafurahi kukushukuru Mungu
Ninapoimba, na kucheza, kukusifu Mungu wangu
Narukaruka, kama ndege, kulisifu Jina lako tukufu
Verse 2
Jina lako tukufu na la kufurahisha, ee Bwana, ee Bwana
Verse 3
Watu wote tusifu kwa sauti zetu, na ngoma, na ngoma
Verse 4
Katenda miujiza leo tukawa hai, ee Bwana ee Bwana
Verse 5
Ndege na warukeruke wanyama waimbe, ee Bwana ee Bwana