SectionsExitNafsi Yangu

Nafsi Yangu

Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Christmas,Easter,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeExit
Chorus

Kila wakati nitamhimidi Bwana

Sifa zake zi kinywani mwangu daima

Nafsi yangu itajisifu, wanyenyekevu wasikie wafurahi *2

Verse 2

Nalimtafuta Bwana akanijibu

Akaniponya na hofu zangu zote

Verse 3

Wakamwelekea wakatiwa nuru

Wala nyuso zao hazitaona haya

Verse 4

Maskini aliita Bwana akasikia

Akamuokoa na taabu zake zote