Chorus
Naenda mimi nikatoe zawadi nikampe Mwokozi wangu
Naenda mimi nikatoe zawadi Japo kidogo nitakachotoa ninamuomba apokee
Verse 2
Ule wakati ndugu umefika wa kumpa Mungu wako zawadi
Nenda katoe ulicho nacho kampe Mungu wako
Verse 3
Hata kidogo ndugu ukatoe, Mungu wako kwani anakuona
Nenda katoe ulicho nacho kampe Mungu wako
Verse 4
Ulivyo navyo ndugu vya Bwana usisite usimame katoe
Nenda katoe ulicho nacho kampe Mungu wako