Verse 1
Mwokozi wangu Rabi
Hukukosa kitunhukuitenda dhambi
Wapigwa bure tu
Mwenye dhambi ni mie
Mie mwenye ovu
Toba nihurumie
Nisikose wokovu
Verse 2
Kwanza sijazaliwa
Ulinikumbuka
Mtini kachomewa
Kwa yangu sadaka
Na mie nisiwaze
Nimekuwa mgumu
Rabi hunigeuza
Ukome wazimu
Verse 3
Leo nakuungama
Ndiwe Mungu wangu
Mwenye wingi wa neema
Mkazi wa uwingu
Sasa nimekupenda
Muinue mtumwao
Kwa mambo kuyatenda
Mpe nguvu na moyo