SectionsEntranceMwokozi Amezaliwa

Mwokozi Amezaliwa

Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,ChristmasEntrance
Chorus

Amka kinanda ngoma na zeze, zeze tulipige

Ngoma na tucheze, Mwokozi amezaliwa *2

Mji wote ni furaha chereko na vifijo,

Nao malaika wanaimba kwa furaha

Gloria Gloria Gloria Gloria Gloria glo-ria

Verse 2

Bwana Yesu Kristu kazaliwa leo Bethlehemu

Nao malaika wanashangilia Mbinguni

Verse 3

Waumini wote njoni kwa furaha tuimbe

Chereko chereko kazaliwa Bwana aleluya

Verse 4

Tufurahi sote Bwana Yesu Kristu kazaliwa

Amka kinanda ngoma pia zeze shangilia